Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2018

HII HAPA RATIBA RASMI YA WORLD CUP 2018 RUSSIA

Hamza matwany Group A :Russia, Saudi Arabia, Egypt, Uruguay  Group B: Portugal, Spain, Morocco, Iran  Group C: France, Australia, Peru, Denmark  Group D: Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria  Group E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia  Group F:- Germany, Mexico, Sweden, South Korea  Group G:-  Belgium, Panama, Tunisia, England  Group H: Poland, Senegal, Colombia, Japan THURSDAY, June 14/6/2018 1.RUSSIA vs SAUDI ARABIA  (8:30pm) FRIDAY, June 15/6/2018 2.EGYPT vs URUGUAY (5:30pm) 3.Morocco vs Iran (8:30pm) 4.Portugal vs Spain (11:30pm) SATURDAY, June 16/6/2018 5.FRANCE vs AUSTRALIA (3:30pm) 6.ARGENTINA vs ICELAND  (6:30pm) 7.PERU vs DENMARK (9:30pm) 8.CROATIA vs NIGERIA (5:30pm) SUNDAY, June 17/6/2018 9.COSTA RICA vs SERBIA (12:30am) 10.GERMANY vs MEXICO (8:30pm) 11.BRAZIL vs SWITZERLAND (11:30pm) MONDAY, June 18/6/2018 12.SWEDEN vs SOUTH KOREA (5:30pm 13.BELGIUM vs PANAMA 8:30pm 14.TUNISIA vs ENGLAND 11:30p...

FAHAMU MACHACHE KUHUSIANA NA EPL

Na Muller Idriss Wakati michezo mbalimbali inaendelea kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini Uingereza ikiwa ni muendelezo wa ligi kuu ya nchi hiyo maarufu kama EPL, Fahamu mambo kadha wa kadha kuhusiana na ligi hiyo:- Manchester United ndiyo timu iliyotwaa ubingwa wa ligi hyo mara nyingi kuliko timu yoyote nchini humo.Imetwaa ubingwa wa ligi hiyo mara 13 tangu mwaka 1992. Lakini pia Man united ndio timu timu iliyoweka rekodi ya kutwaa ubingwa huo  mara tatu mfululizo mnamo msimu wa mwaka 1998-99,199-2000 na 2000-2001 na waliifikia rekodi yao wenyewe mnamo mwaka 2006-07,2007-08 na 2008-09 Rekodi nyingine ni ya kutwaa ubingwa wa epl kwa tofauti ya pointi kubwa. Rekodi hiyo inashikiliwa na klabu ya Manchester United ambapo ilitwaa ubingwa huo kwa tofauti ya pointi 18 baada ya kufikisha pointi 91 wakifuatiwa na Arsenal ambao walifikisha pointi 73. Hiyo ikiwa ni tofauti kubwa ya pointi, tofauti ndogo kabisa ni tofauti ya pointi 0 ambayo iliwekwa mwaka 2011-12 ambapo Manchester c...

NORTHERN LONDON DERBY NA REKODI ZAKE

Muller idrisir Leo tar 10.Feb.2018 ulipigwa mchezo baina ya timu mbili zinazopatikana Kaskazini mwa jiji la London (Northern London derby). Mchezo huo ulizikutanisha timu za Tottenharm hotspurs na Asernal. Mchezo uliomalizika kwa timu ya Spurs kupata ushindi wa bao moja na sifuri. Hizi ni rekodi mbalimbali kuhusiana na mchezo huo uliomalizika majira ya jioni : 1. Huu ndio mchezo ulioongoza kuhudhuriwa na mashabiki wengi kuliko michezo yote ya Ligi hiyo. Mechi hiyo ilihudhuriwa na watazamaji 83,222 na kuvunja rekodi ya mchezo kati ya Spurs na Man united uliopigwa Mwisho wa juma lilipita ambao ulihudhuriwa na watu 81,978 2.Arsenal wamefungwa kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Wembley baada ya kucheza michezo tisa (9) bila kufungwa katika uwanja huo 3. Pia Arsenal wameendelea na rekodi yao ya kutopata ushindi dhidi ya timu 5 za juu wawapo ugenini kwenye Epl baada ya kucheza michezo kumi na tano (15) bila ushindi na leo ni ya 16 bila ya ushindi. Mara ya mwisho ilik...