Baada ya kukamilisha usajili wa golikipa pickford.
Everton wamekamilisha usajili wa kiungo toka club ya Fc ajax ya holland davy klaassen kwa uhamisho wa €27m
Ambae alioongoza club hyo mpaka fainali ya ueropa league msimu uliomalizika kabla kufungwa na manchester united
Yeye akiwa kama captain ya club hyo
Comments
Post a Comment