Hamza matwany
Ahn jung-hwan raia wa korea kusini alifunga goli la dhahabu kwenye dakika 30 za nyongeza kwenye kombe la dunia mwaka 2002 kwenye mchezo 16 bora dhidi ya italy, wakati huo alikuwa akicheza katika klabu ya perugia iliyopo seria B ya nchini italia.
Baada ya goli hilo klabu hiyo iliamua kumvunjia mkataba mchezaji huyo
Comments
Post a Comment