Hamza matwany
Zinedine zidane huenda akawa kocha mrithi wa massimiliano allegri hapo mwezi juni katika club ya juventus.
Massimiliano amekuwa akitajwa na vlabu kama chelsea, arsenal,kwenda kuchukua mikoba ya makocha wanaoziongoza timu hizo kwa sasa.
Katika kura zilizopigwa na uongozi wa juventus zidane ndo ameongoza na huenda akawa mrithi wa massimiliano allegri.
Zidane kwa sasa ambae hana msimu mzuri mwaka huu na club yake ya real madrid na madrid huenda wakatafuta mbadala wa kocha huyo kwenye dirisha kubwa la usajili wa mwezi juni.
Huku kocha wa totnham hotspurs pochettino ikiripotiwa kuwa mbadala wa zidane.
Comments
Post a Comment