Hamza matwany
Baada ya mchezo wa real madrid dhidi ya mbweha wa spain virareal katika uwanja wa sentiago bernabeu na mchezo kumalizika kwa madrid kufungwa goli moja katika dakika ya 88 ya mchezo.
Kufuatia matokeo hayo madrid wanakuwa wameachwa point 16 dhidi ya mahasimu wao wa el classico fc barcelona ambao wanaongoza ligi hyo kwa sasa.
Real madrid ipo nafasi ya nne baada ya kucheza 18 wakipata point 32 wakiwa mbele kwa point moja tu na timu ambayo ipo nafasi ya tano virareal na ikiwa point 3 mbele dhidi ya timu ambayo ipo nafasi ya 6
Baada ya kupoteza mchezo huo haya ndio yalikuwa maneno ya kiungo kwa kijerumani katika mahojiano ton kroos
"Tumepoteza mchezo na tupo nyuma kwa point 16 dhidi ya klabu ambayo inaongoza ligi kilichobaki kwa sasa ni kuhakikisha klabu inafuzu kwa mashindano ya ulaya mwakani kuwania ubingwa kwa msimu huu kama imekuwa ngumu sana kwa upande wetu"
Comments
Post a Comment