Hamza matwany
Kocha mkuu wa manchester city pep gurdiola aweka rekodi mpya katika ligi kuu ya england(epl).
Pep gurdiola ameweka rekodi hiyo baada ya kuchukua tuzo nne mwezi
September
October
November
December
Pep gurdiola anakuwa manager wa kwanza wa epl kuweka rekodi hiyo baada ya hapo mwanzo kuwekwa na antonio konte kocha mkuu wa chelsea kwa kuchukua mara tatu mfululizo.
Pep amechukua tuzo ya mwezi december baada ya kucheza michezo saba(7) ya ligi kuu na kushinda michezo sita na kutoa sare mchezo mmoja dhidi ya crystal palace.
Pep anaungana na harry kane ambae amechukua tuzo ya mchezaji bora epl mwezi december kwa kufunga ha_trick tatu katika mwezi huo
Pia goli bora la mwezi december limefunga na jerman defoe wa fc bounamouth goli ambalo alifunga dhidi ya crystal palace.
Comments
Post a Comment