Hamza matwany
Wanawake saudi arabia kuangalia mpira kwa mara ya kwanza nchini humo.
Wanawake hao kwa mara ya kwanza wameruhusiwa kutazama mechi kati ya al_ahr kwenye uwanja wake wa nyumbani ambao walikuwa wanacheza mchezo wa ligi dhidi ya al_batin
Zamani sheria za saudi arabia zilikuwa haziruhusu wanawake kwenda uwanjani kushuhudia mchezo lakini baada ya kubadilisha sheria hiyo kwa sasa wanawake wapo huru kushuhudia michezo mbalibali ya soccer
MABADILIKO
Comments
Post a Comment