Hamza matwany
Kiungo wa manchester united paul pogba ambae alichaguliwa kuwa man of the match katika mechi ambayo manchester united walicheza nyumbani dhidi ya stoke city
Katika mchezo huo manchester united walishinda goli 3_ 0 magoli ya antonio valencia, martial,na lukaku na kuwafanya manchester united kurudisha matumaini ya mbio za ubingwa baada ya kubakiza point 12 na kinara wa ligi hiyo
Paul pogba alichangia upatikanaji wa magoli 2 kati ya hayo matatu na kumfanya afikishe assist 9 kwenye michezo 13 ya ligi.
Hivyo pogba anakuwa ame leta msaada wa mabao 9 kwenye mechi 13 ambazo ni nyingi kulinganisha na mechi ambazo amecheza kuliko wote ambao wamefanya hivyo katika ligi 5 bora barani ulaya kwa sasa.
Takwimu
Pogba 9 kwenye mechi 13
Neymar 9 kwenye mechi 14
Phili max 9 kwenye mechi 18
Sisto 9 kwenye mechi 19
Leroy sane 9 kwenye mechi 21
Kelvin de bruyne 9 kwenye mechi 23
Comments
Post a Comment