Skip to main content

Posts

Showing posts with the label soccer news

JE WAJUA?

Hamza matwany Ahn jung-hwan raia wa korea kusini alifunga goli la dhahabu kwenye dakika 30 za nyongeza kwenye kombe la dunia mwaka 2002 kwenye mchezo 16 bora dhidi ya italy, wakati huo alikuwa akicheza katika klabu ya perugia iliyopo seria B ya nchini italia. Baada ya goli hilo klabu hiyo iliamua kumvunjia mkataba mchezaji huyo

MAJERAHA MAKUBWA LIGI 5 KUBWA BARANI ULAYA

Hamza matwany Hivi unawajua wachezaji waliowahi kupata majeraha makubwa na kukaa nje siku nyingi pia kukosa michezo mingi kwenye vilabu vyao? Nmekuletea hizi takwimu za wachezaji wa ligi kubwa 5 barani ulaya kwa idadi ya majeraha waliyoyapata, siku walizokaa mpaka kupona hayo majeraha yote na michezo pia ambayo wameikosa. Premier league( EPL) Kwa upande wa ligi kuu kijana mwenye kipaji kikubwa raia wa uingereza na klabu ya arsenal Jack wilshere ndio anaongoza kwenye ligi hii akiwa amepata majeraha mara 13 akiwa ametumia siku 1013 kuuguza majeraha hayo yote .Jack wilshere amekosa michezo 155 mpaka sasa kipindi chote alichoapata majeraha hayo. La liga (santander) Kwenye ligi hii Thomas vermalein mchezaji wa fc barcelona pamoja na taifa ya ubelgiji ndio anaeongoza kwa majeraha mengi kwenye ligi hii akiwa ameumia mara 23 akiwa ametumia siku 1026 katika kuuguza majeraha yote ambayo ameyapata akiwa amekosa michezo 128 katika kipind chote cha majeraha. Bundersliga Kwenye ligi kuu uj...

DEMBELE OUT WIKI 4

Hamza matwany Madaktari wa klabu ya barcelona wamethibitisha osmanè dembele raia wa ufaransa atakuwa nje kwa wiki 3 hadi 4 kutokana na majeraha ya msuli ambayo aliyapata kwenye mechi dhidi ya real socieded kwenye uwanja wa anoeta jumapili Mchezaji huyo akiwa ametoka kwenye majeraha ya muda mrefu baada ya kukaa nje kwa miezi minne tangu alipoumia mwezi wa nane kwenye mechi dhidi ya getafe. Madaktari wa klabu wamethibitisha majeraha hayo hayata athiri lile jeraha lake la kwanza la upasuaji alilofanya mwezi wa 8 Bado osmane dembele ajakuwa na wakati mzuri kutokana na majehara hayo yanamsumbua.

MACHACHE KUELEKEA MCHEZO WA REAL SOCIEDED DHIDI YA BARCELONA

Hamza matwany Kuelekea mchezo wa real socieded dhidi ya barcelona leo katika uwanja wa nyumbani wa real socieded Anoeta stadium, hizi ni takwimu chache kabla ya mchezo huo Barcelona wanaongoza ligi kwa point 48 huku real socieded wakiwa nafasi ya 13 kwa point 23 katika michezo 18. Kwenye mechi 7 za mwisho za la liga katika uwanja wa anoeta barcelona hawajawahi kushinda mchezo hata mmoja kati ya hiyo wamefungwa michezo 5 na kutoa sare mara mbili. Mara ya mwisho barcelona kumfunga real socieded katika uwanja wake wa nyumbani ilikuwa mwaka 2007 katika ushindi wa goli 2_0 Mpaka sasa kwenye mechi 6 za mwisho za ligi real socieded ajashinda mchezo wowote amefungwa michezo 3 na kutoa sare michezo 3 msimu huu Barcelona hajaruhusu goli lolote katika mechi zake 4 za mwisho za laliga msimu huu mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa may 2016. Real socieded  wamefunga magoli 6 katika dakika 15 za mwanzo kwenye la liga msimu huu. Messi ndo kinara wa magoli kwenye mechi hii akiwa amefung...

MANENO YA TON KROOS BAADA YA KUFUNGWA NA VIRAREAL

Hamza matwany Baada ya mchezo wa real madrid dhidi ya mbweha wa spain virareal katika uwanja wa sentiago bernabeu na mchezo kumalizika kwa madrid kufungwa goli moja katika dakika ya 88 ya mchezo. Kufuatia matokeo hayo madrid wanakuwa wameachwa point 16 dhidi ya mahasimu wao wa el classico fc barcelona ambao wanaongoza ligi hyo kwa sasa. Real madrid ipo nafasi ya nne baada ya kucheza 18 wakipata point 32 wakiwa mbele kwa point moja tu na timu ambayo ipo nafasi ya tano virareal na ikiwa point 3 mbele dhidi ya timu ambayo ipo nafasi ya 6 Baada ya kupoteza mchezo huo haya ndio yalikuwa maneno ya kiungo kwa kijerumani katika mahojiano ton kroos "Tumepoteza mchezo na tupo nyuma kwa point 16 dhidi ya klabu ambayo inaongoza ligi kilichobaki kwa sasa ni kuhakikisha klabu inafuzu kwa mashindano ya ulaya mwakani kuwania ubingwa kwa msimu huu kama imekuwa ngumu sana kwa upande wetu"

ARDA TURAN NA MAISHA MAPYA YA SOCCER

Hamza matwany Klabu ya barcelona rasmi imemuachia mchezaji wake arda turan kwa mkopo kwenye klabu ya Bà sà k séhīr ya nchini uturuki. Arda turan  30 atakuwa kwa mkopo wa miaka 2 na nusu  katika klabu hiyo na baada ya hapo barcelona wanaweza kumuuza kwenye klabu yoyote ya ulaya na pia kwenye mkataba wake wa mkopo kuna kipengele cha mkopo ambacho kinawaruhusu instabul basaksehir kumnunua kwa jumla baada ya muda huo wa mkopo    na rasmi jana ametambulishwa kwenye klabu hiyo ya uturuki. Barca walimnunua arda turan kutoka atletico madrid akiwa kwenye kiwango kizuri sana lakini mambo hayakumuendea sawa akiwa na fc barcelona Arda turan aliandamwa na majeruhi ya muda mrefu katika club hiyo hali iliyomfanya akose nafasi ya kucheza katika klabu hiyo. Arda turan amedumu  katika ligi kuu spain kwa misimu sita na ameshinda la liga, europa league . Alijiunga na atletico madrid akitokea klabu ya galatasaray ya nchini kwao uturuki, pia likiwa zao ya galatasaray youth acad...

UZI MPYA WA REAL MADRID 2017/2018

Real madrid mabingwa wa uefa champions laegue mara 12 wametangaza jezi zao mpya watakazotumia nyumbani na ugenini kwa msimu wa 2017/2018 kwa mashindano yao yote. Kama kawaida yao jezi ya nyumbani itakuwa nyeupe na yenye michirizi ya blue wakati ugenini watatumia nyeusi   zenye michirizi  ya blue