Skip to main content

Posts

Showing posts with the label sport news update

HII HAPA RATIBA RASMI YA WORLD CUP 2018 RUSSIA

Hamza matwany Group A :Russia, Saudi Arabia, Egypt, Uruguay  Group B: Portugal, Spain, Morocco, Iran  Group C: France, Australia, Peru, Denmark  Group D: Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria  Group E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia  Group F:- Germany, Mexico, Sweden, South Korea  Group G:-  Belgium, Panama, Tunisia, England  Group H: Poland, Senegal, Colombia, Japan THURSDAY, June 14/6/2018 1.RUSSIA vs SAUDI ARABIA  (8:30pm) FRIDAY, June 15/6/2018 2.EGYPT vs URUGUAY (5:30pm) 3.Morocco vs Iran (8:30pm) 4.Portugal vs Spain (11:30pm) SATURDAY, June 16/6/2018 5.FRANCE vs AUSTRALIA (3:30pm) 6.ARGENTINA vs ICELAND  (6:30pm) 7.PERU vs DENMARK (9:30pm) 8.CROATIA vs NIGERIA (5:30pm) SUNDAY, June 17/6/2018 9.COSTA RICA vs SERBIA (12:30am) 10.GERMANY vs MEXICO (8:30pm) 11.BRAZIL vs SWITZERLAND (11:30pm) MONDAY, June 18/6/2018 12.SWEDEN vs SOUTH KOREA (5:30pm 13.BELGIUM vs PANAMA 8:30pm 14.TUNISIA vs ENGLAND 11:30p...

FAHAMU MACHACHE KUHUSIANA NA EPL

Na Muller Idriss Wakati michezo mbalimbali inaendelea kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini Uingereza ikiwa ni muendelezo wa ligi kuu ya nchi hiyo maarufu kama EPL, Fahamu mambo kadha wa kadha kuhusiana na ligi hiyo:- Manchester United ndiyo timu iliyotwaa ubingwa wa ligi hyo mara nyingi kuliko timu yoyote nchini humo.Imetwaa ubingwa wa ligi hiyo mara 13 tangu mwaka 1992. Lakini pia Man united ndio timu timu iliyoweka rekodi ya kutwaa ubingwa huo  mara tatu mfululizo mnamo msimu wa mwaka 1998-99,199-2000 na 2000-2001 na waliifikia rekodi yao wenyewe mnamo mwaka 2006-07,2007-08 na 2008-09 Rekodi nyingine ni ya kutwaa ubingwa wa epl kwa tofauti ya pointi kubwa. Rekodi hiyo inashikiliwa na klabu ya Manchester United ambapo ilitwaa ubingwa huo kwa tofauti ya pointi 18 baada ya kufikisha pointi 91 wakifuatiwa na Arsenal ambao walifikisha pointi 73. Hiyo ikiwa ni tofauti kubwa ya pointi, tofauti ndogo kabisa ni tofauti ya pointi 0 ambayo iliwekwa mwaka 2011-12 ambapo Manchester c...

NORTHERN LONDON DERBY NA REKODI ZAKE

Muller idrisir Leo tar 10.Feb.2018 ulipigwa mchezo baina ya timu mbili zinazopatikana Kaskazini mwa jiji la London (Northern London derby). Mchezo huo ulizikutanisha timu za Tottenharm hotspurs na Asernal. Mchezo uliomalizika kwa timu ya Spurs kupata ushindi wa bao moja na sifuri. Hizi ni rekodi mbalimbali kuhusiana na mchezo huo uliomalizika majira ya jioni : 1. Huu ndio mchezo ulioongoza kuhudhuriwa na mashabiki wengi kuliko michezo yote ya Ligi hiyo. Mechi hiyo ilihudhuriwa na watazamaji 83,222 na kuvunja rekodi ya mchezo kati ya Spurs na Man united uliopigwa Mwisho wa juma lilipita ambao ulihudhuriwa na watu 81,978 2.Arsenal wamefungwa kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Wembley baada ya kucheza michezo tisa (9) bila kufungwa katika uwanja huo 3. Pia Arsenal wameendelea na rekodi yao ya kutopata ushindi dhidi ya timu 5 za juu wawapo ugenini kwenye Epl baada ya kucheza michezo kumi na tano (15) bila ushindi na leo ni ya 16 bila ya ushindi. Mara ya mwisho ilik...

PAUL POGBA AWEKA REKODI LIGI 5 BORA BARANI ULAYA

Hamza matwany Kiungo wa manchester united paul pogba ambae alichaguliwa kuwa man of the match katika mechi ambayo manchester united walicheza nyumbani dhidi ya stoke city Katika mchezo huo manchester united walishinda goli 3_ 0 magoli ya antonio valencia, martial,na lukaku na kuwafanya manchester united kurudisha matumaini ya mbio za ubingwa baada ya kubakiza point 12 na kinara wa ligi hiyo Paul pogba alichangia upatikanaji wa magoli 2 kati ya hayo matatu na kumfanya afikishe assist 9 kwenye michezo 13 ya ligi. Hivyo pogba anakuwa ame leta msaada wa mabao 9 kwenye mechi 13 ambazo ni nyingi kulinganisha na mechi ambazo amecheza kuliko wote ambao wamefanya hivyo katika ligi 5 bora barani ulaya kwa sasa. Takwimu Pogba 9 kwenye mechi 13 Neymar 9 kwenye mechi 14 Phili max 9 kwenye mechi 18 Sisto 9 kwenye mechi 19 Leroy sane 9 kwenye mechi 21 Kelvin de bruyne 9 kwenye mechi 23

JEZI YA NYUMBANI YA BARCELONA MSIMU WA 2018/2019 IMEVUJA MTANDAONI

Hamza matwany Jezi ya barcelona ya msimu wa 18/19 ambayo inatengezwa na kampuni ya vifaa vya michezo vya nike imevuja mtandaoni. Jezi hiyo ambayo inafanana na jezi ambayo ilitumiwa na club hiyo mwaka 1998 miaka 20  nyuma imetengezwa katika namna hiyo ili kuenzi legends kwa klabu hiyo Jezi ya nyumbani itakuwa ina wekundu na mistari ya blue na bukta nyeusi pia socks zake ni nyeusi kama inavyoonekana kwenye hizo picha

WANAWAKE WATAZAMA MECHI KWA MARA YA KWANZA

Hamza matwany Wanawake saudi arabia kuangalia mpira kwa mara ya kwanza nchini humo. Wanawake hao kwa mara ya kwanza wameruhusiwa kutazama mechi kati ya al _ ahr kwenye uwanja wake wa nyumbani ambao walikuwa wanacheza mchezo wa ligi dhidi ya al _ batin Zamani sheria za saudi arabia zilikuwa haziruhusu wanawake kwenda uwanjani kushuhudia mchezo lakini baada ya kubadilisha sheria hiyo kwa sasa wanawake wapo huru kushuhudia michezo mbalibali ya soccer MABADILIKO

JUVENTUS NA MIPANGO YA ZIDANE

Hamza matwany Zinedine zidane huenda akawa kocha mrithi wa massimiliano allegri hapo mwezi juni katika club ya juventus. Massimiliano amekuwa akitajwa na vlabu kama chelsea, arsenal,kwenda kuchukua mikoba ya makocha wanaoziongoza timu hizo kwa sasa. Katika kura zilizopigwa na uongozi wa juventus zidane ndo ameongoza na huenda akawa mrithi wa massimiliano allegri. Zidane kwa sasa ambae hana msimu mzuri mwaka huu na club yake ya real madrid na madrid huenda wakatafuta mbadala wa kocha huyo kwenye dirisha kubwa la usajili wa mwezi juni. Huku kocha wa totnham hotspurs pochett ino ikiripotiwa kuwa mbadala wa zidane.

PEP GURDIOLA AVUNJA REKODI EPL

Hamza matwany Kocha mkuu wa manchester city pep gurdiola aweka rekodi mpya katika ligi kuu ya england( epl ) . Pep gurdiola ameweka rekodi hiyo baada ya kuchukua tuzo nne mwezi September October November December Pep gurdiola anakuwa manager wa kwanza wa epl kuweka rekodi hiyo  baada ya hapo mwanzo kuwekwa na antonio konte kocha mkuu wa chelsea kwa kuchukua mara tatu mfululizo. Pep amechukua tuzo ya mwezi december baada ya kucheza michezo saba( 7 ) ya ligi kuu na kushinda michezo sita na kutoa sare mchezo mmoja dhidi ya crystal palace. Pep anaungana na harry kane ambae amechukua tuzo ya mchezaji bora epl mwezi december kwa kufunga ha_trick tatu katika mwezi huo Pia goli bora la mwezi december limefunga na jerman defoe wa fc bounamouth goli ambalo alifunga dhidi ya crystal palace.

NINI KIMEMPONZA YANGA MBELE YA MBAO?

Na  Hamza matwany Katika mchezo ambao umepigwa katika uwanja wa ccm kirumba mnamo tarehe 31/12/2017 umezikutanisha timu ambazo zinazidi kuwa na upinzani mkubwa kadri miaka inavyozidi kwenda ni mbao fc vs yanga sc. Katika michezo mitatu mfululizo yanga anapoteza mechi katika uwanja wa ccm kirumba. Hivyo mbao kujivunia historia pekee dhidi ya yanga katika uwanja wake wa nyumbani. Ni nini kimeiponza yanga katika mchezo huo? Moja wa sababu ni kuwakosa wachezaji wake muhimu akiwemo obrey chirwa, ibrahimu migomba ajibu, thaban kamusoko na wengine wengi ambao wamekuwa msaada kwa klabu ya yanga ndani ya mwaka huu. Pia yanga imecheza na timu yenye upinzani mkubwa kwao bila ya kuwa na kocha wao mkuu ambae amepata matatizo ya kifamilia, kwa hiyo timu iliongozwa na kocha msaidizi pengine mbinu za kiufundi zilimshinda katika mchezo huo wa jana. Team chemistry pia ilikosekana kwa wachezaji ambao walicheza katika kikosi hicho kwa mfano abdallah shaibu alipata nafasi ya kuanza katika kikosi...

ALLY MAYAY TEMBELE ACHUKUWA FOMU YA URAIS TFF

Hatimaye Ally Mayay Tembele amechukua fomu ya kuwania Urais wa TFF. Mayai sasa atachuana na Jamal Malinzi ambaye anashikilia nafasi hiyo. Lakini wako Athumani Nyamlani, Omar Madega na Wallace Karia ambao atalazimika kufanya kazi ya ziada kuwazidi. Mayai ambaye amewahi kuwa nahodha wa Yanga alisindikizwa na wachezaji mbalimbali wa zamani wakiongozwa na Athumani Tippo, Jamhuri Kihwelo 'Julio'. 19 Jun2017

MAAMUZI WALIYOPEWA MAREFA KABLA YA MASHINDANO YA CONFEDERATION CUP RUSSIA

Michuano ya 10 ya FIFA Confederation Cup inatarajiwa kuanza ndani ya siku zijazo nchini Russia, nchi ambayo ina kesi nyingi za ubaguzi wa rangi katika viwanja vya soka. Kutokana na jambo hilo, marefa watakaongoza michezo ya michuano hiyo wamepewa mamlaka  ya kusimamisha na kuvunja mchezo ikiwa watathibitisha suala lolote la ubaguzi wa rangi katika FIFA Confederations Cup. Uamuzi huu ni moja ya sehemu ya 3 ambazo zinampa mwamuzi nguvu ya kusimamisha mchezo mpaka kuuiharisha mchezo kabisa kutoka vitendo visivyo vya kimichezo vya mashabiki.  Chombo cha mamlaka ya juu ya soka kitaweka waangalizi wa vitendo vya kibaguzi.  “Hizi ni hatua tunazochukua kupambana na masuala ya ubaguzi kwenye soka,” – alisema Rais wa FIFA Gianni Infantino.  Mashindano ya mwaka 2017 ya Confederations Cup ni ya 10 tangu yalipoanza na hushirikisha bingwa wa kila bara, mshindi wa kombe la dunia na pamoja mwenyeji wa michuano. 

USAJILI MPYA EVERTON

Baada ya kukamilisha usajili wa golikipa pickford . Everton wamekamilisha usajili wa kiungo toka club ya Fc ajax ya holland davy klaassen kwa uhamisho wa €27m Ambae alioongoza club hyo mpaka fainali ya ueropa league msimu uliomalizika kabla kufungwa na manchester united Yeye akiwa kama captain ya club hyo

FURAHA JANGWANI

NYOTA WATATU WA KIGENI WAONGEZA MKATABA MNONO YANGA SC: Katika purukushani za usajili ndani ya vilabu mbalimbali hapa bongo tunaendelea kusikia team mbali mbali zinasajili kwa kasi kweli kweli kama Azam , Simba , Kagera sugar , Singida united na kadhilika ila YANGA Imeonekana kuwa kimya kweny hili swala la usajili na kushtusha baadhi ya mashabiki..... Zilitokea tetesi na kusambaa sana kwenye mitandao kuwa Haruna Hakizimana kiungo number 8 wa Yanga  amesaini kandaras ya miaka miwili Simba Sc Lakin sisi tulimpigia simu na kumuhoji akasema hizo  taarifa hazina ukweli ni uzushi tuu pia hana mpango wa kuichezea simba kabsa kama akimaliza mkataba wake na YANGA wasipomuongeza ni bora akacheze team za nyumbani kwake (Mimi nitaichezea Yanga mpaka kustaafu soka)..... Sasa basi kwa taarifa iliyopo ni kwamba nyota hao watatu wa kigeni wameongeza mkataba ndan ya club ya YANGA SC... Haruna Hakizimana Niyonzima : kiungo number 8 maridadi kabsa ndani ya club ya yanga ameongeza mkataba wa m...

FURAHA JANGWANI

NYOTA WATATU WA KIGENI WAONGEZA MKATABA MNONO YANGA SC: Katika purukushani za usajili ndani ya vilabu mbalimbali hapa bongo tunaendelea kusikia team mbali mbali zinasajili kwa kasi kweli kweli kama Azam , Simba , Kagera sugar , Singida united na kadhilika ila YANGA Imeonekana kuwa kimya kweny hili swala la usajili na kushtusha baadhi ya mashabiki..... Zilitokea tetesi na kusambaa sana kwenye mitandao kuwa Haruna Hakizimana kiungo number 8 wa Yanga  amesaini kandaras ya miaka miwili Simba Sc Lakin sisi tulimpigia simu na kumuhoji akasema hizo  taarifa hazina ukweli ni uzushi tuu pia hana mpango wa kuichezea simba kabsa kama akimaliza mkataba wake na YANGA wasipomuongeza ni bora akacheze team za nyumbani kwake (Mimi nitaichezea Yanga mpaka kustaafu soka)..... Sasa basi kwa taarifa iliyopo ni kwamba nyota hao watatu wa kigeni wameongeza mkataba ndan ya club ya YANGA SC... Haruna Hakizimana Niyonzima : kiungo number 8 maridadi kabsa ndani ya club ya yanga ameongeza mkataba wa m...

ALLY SHOMARI ASAJILIWA SIMBA

Rasmi; beki wa kulia wa mtibwa sugar Allyshomari amejiunga na club ya simba sport clu b Kwa mkataba wa miaka miwili ambao atatumikia club hyo mpaka mwaka 2019. Kwa simba huo ni muendelezo baada ya kuwasajili wachezaji kadhaa akiwemo Aishi manula_azam fc Shomar kapombe_azam fc John bocco_azam fc Na wengine ambao tayari wametua klabuni hapo  ikiwa ni maandalizi ya msimu ujao pamoja na mechi za kimataifa

VALVEDE KOCHA MPYA WA BARCELONA AFANYA USAJILI WAKE WA KWANZA

Kocha mpya wa barcelona amefanya usajili wake wa kwanza kwa mchezaji marlon santon Kwa mkataba wa miaka mitatu(3) Raia huyo wa brazil alikuwa kwa mkopo katika klabu ya flumenense ya huko brazil kabla ya kujiunga na senior timu ya barcelona msimu huu. Marlon santon ni mbrazil mwenye umri wa miaka 21 amelelewa katika soccer academy ya barcelona( lamarcia )

MAYWEATHER VS MC GREGOR

Magwiji wawili katika mchezo wa "boxing" Floydmayweather na  UCF star Mc gregor watazichapa katika usiku wa tarehe August 26 huko Las vegas Huku kila upande ukihitaji $100 ili kupigana katika pambano hilo. Floydmayweather ndie mwanamichezo tajiri kwa sasa duniani.

RONALDO NA KASHFA KAMA YA MESSI

Unakumbuka ile kesi ambayo ilimkumba Lioneil Messi na mamlaka za mapato za nchini Hispania hadi akapigwa faini ya euro 2m pamoja na kifungo cha nje? sasa kesi ile imehamia kwa mpinzani mkubwa wa Messi ambaye ni Cristiano Ronaldo. Taarifa zinasema kwa muda sasa toka mwaka 2011 hadi 2014 nyota huyo wa timu ya Real Madrid amekuwa akikwepa kulipa kodi ambapo zaidi ya kiasi cha kodi cha euro 14m amekwepa kulipa katika kipindi hicho. Tofauti na Lioneil Messi lakini kwa Ronaldo kosa lake ni kubwa sana kwani wapelelezi wa kesi yake wanadai mshambuliaji huyo alifungua hadi kampuni kwa jina jipya ili kukwepa kulipa kodi na kiasi ambacho Ronaldo amekwepa ni mara 3 ya kile kilichomtia Lioneil Messi matatani. Messi kesi yake ilikuwa ni ukwepaji wa kodi kiasi cha euro 4.1m huku Cristiano Ronaldo ikiwa ni euro 16m, na Messi na baba yake walihukumiwa adhabu ya miezi 21 na faini ya euro 2m hali inayoonesha Ronaldo anaweza kukabiliwa na adhabu kubwa zaidi. Ronaldo mwenyewe akizungumzia tukio hilo nc...

RATIBA YA EPL 2017/2018 HII HAPA

Agosti 26 Arsenal v Leicester City Brighton and Hove Albion v Manchester City Chelsea v Burnley Crystal Palace v Huddersfield Town Everton v Stoke City Manchester United v West Ham United Newcastle United v Tottenham Hotspur Southampton v Swansea City Watford v Liverpool West Bromwich Albion v Bournemouth Agosti 19 Bournemouth v Watford Burnley v West Bromwich Albion Huddersfield Town v Newcastle United Leicester City v Brighton and Hove Albion Liverpool v Crystal Palace Manchester City v Everton Stoke City v Arsenal Swansea City v Manchester United Tottenham Hotspur v Chelsea West Ham United v Southampton Agosti 26 Bournemouth v Manchester City Chelsea v Everton Crystal Palace v Swansea City Huddersfield Town v Southampton Liverpool v Arsenal Manchester United v Leicester City Newcastle United v West Ham United Tottenham Hotspur v Burnley Watford v Brighton and Hove Albion West Bromwich Albion v Stoke City Septemba 9 Arsenal v Bournemouth Brighto...