Hamza matwany Usiku wa tarehe 10 &11-2018 ulikuwa moja ya siku ambazo timu kutoka SERIE A zimeonyesha kwamba mpira ni dakika 90 kwa mechi moja lakini ni 180 kwenye hatua ya mtoano hasa kwenye Champions league . Roma na juventus zilionekana timu ambazo mechi zao za marudiano zitakuwa rahisi kutokana na matokeo ambayo waliyapata mechi zao za kwanza Juve alipoteza mechi yake ya kwanza akiwa nyumbani kwa jumla ya goli 3-0 dhidi ya miamba ya jiji la madrid na Roma alifungwa 4-1 pale Nou camp. Mechi za marudio barcelona alimfuata Roma pale stadio olimpio na Roma alifanikiwa kupata ushindi wa goli 3-0 hivyo kufanya agg 4-4 na goli la ugenini lilimpa nafasi ya kusonga mbele. madrid alimkaribisha Juventus pale Stadio de bernabeu huku madrid wakimkosa naodha wake sergio ramos na Juventus wakimkosa paul dybala wote hao wakiwekwa nje kwa kadi. lakini juve aliusimamisha usiku kama Roma alivyofanya kwa kumfunga madrid goli 3-1 hivyo kufanya agg 4-3 , kitu ambacho hakikutazamwa na wengi kweny...
Hamza matwani chelsea ni moja ya club duniani zinazomilikiwa na mtu binafsi ambae ni Roman abramovich , lakini boss huyo anatambulika kwa kutoweza kumvulia kocha ikiwa timu inapata matokeo mabaya japo kwa msimu mmoja : Antonio conte anakuwa kocha wa 16 kuifundisha chelsea toka mwaka 2000 kwa wastani kila kocha amedumu kwenye club hiyo kwa mwaka mmoja na mwezi mmoja. : makocha mashughuli duniani wamepita kwenye club hiyo tangu mwaka 2000 mfano josë mourinho, fellipe scolari, claudio ranieri, Rafa benitez, Guus huddink, Andre villa boas, carlo anceloti, steve holland, ray wilkins , Roberto di mateo na wengine wengi. : Antonio conte mkataba wake unamalizika mwaka 2021 lakini sitarajii kuona akimaliza mkataba huo kwa muda husika bila kutupiwa vilago vyako. : unamkumbuka Roberto di mateo kocha pekee aliewapa taji la UEFA club hiyo kwa kupita katika migongo ya timu ngumu duniani akifanya come back ya historia pale darajani kwa kuwafunga napoli jumla ya goli 4-1baada ya kufungwa...