Club ya manchester united leo imekamilisha usajili wa beki wa kati raia wa sweden ambae alikuwa anakipiga hapo awali katika club ya benfica victor lindeof kwa ada ya uhamisho wa euro millioni 30. Mchezaji huyo mweye umri wa miaka 22, utakuwa usajili wa kwanza wa josemourinho katika dirisha hili la usajili.
Baada ya kukamilisha usajili wa golikipa pickford . Everton wamekamilisha usajili wa kiungo toka club ya Fc ajax ya holland davy klaassen kwa uhamisho wa €27m Ambae alioongoza club hyo mpaka fainali ya ueropa league msimu uliomalizika kabla kufungwa na manchester united Yeye akiwa kama captain ya club hyo
Comments
Post a Comment