Skip to main content

Posts

ALLY MAYAY TEMBELE ACHUKUWA FOMU YA URAIS TFF

Hatimaye Ally Mayay Tembele amechukua fomu ya kuwania Urais wa TFF. Mayai sasa atachuana na Jamal Malinzi ambaye anashikilia nafasi hiyo. Lakini wako Athumani Nyamlani, Omar Madega na Wallace Karia ambao atalazimika kufanya kazi ya ziada kuwazidi. Mayai ambaye amewahi kuwa nahodha wa Yanga alisindikizwa na wachezaji mbalimbali wa zamani wakiongozwa na Athumani Tippo, Jamhuri Kihwelo 'Julio'. 19 Jun2017

MAAMUZI WALIYOPEWA MAREFA KABLA YA MASHINDANO YA CONFEDERATION CUP RUSSIA

Michuano ya 10 ya FIFA Confederation Cup inatarajiwa kuanza ndani ya siku zijazo nchini Russia, nchi ambayo ina kesi nyingi za ubaguzi wa rangi katika viwanja vya soka. Kutokana na jambo hilo, marefa watakaongoza michezo ya michuano hiyo wamepewa mamlaka  ya kusimamisha na kuvunja mchezo ikiwa watathibitisha suala lolote la ubaguzi wa rangi katika FIFA Confederations Cup. Uamuzi huu ni moja ya sehemu ya 3 ambazo zinampa mwamuzi nguvu ya kusimamisha mchezo mpaka kuuiharisha mchezo kabisa kutoka vitendo visivyo vya kimichezo vya mashabiki.  Chombo cha mamlaka ya juu ya soka kitaweka waangalizi wa vitendo vya kibaguzi.  “Hizi ni hatua tunazochukua kupambana na masuala ya ubaguzi kwenye soka,” – alisema Rais wa FIFA Gianni Infantino.  Mashindano ya mwaka 2017 ya Confederations Cup ni ya 10 tangu yalipoanza na hushirikisha bingwa wa kila bara, mshindi wa kombe la dunia na pamoja mwenyeji wa michuano. 

USAJILI MPYA EVERTON

Baada ya kukamilisha usajili wa golikipa pickford . Everton wamekamilisha usajili wa kiungo toka club ya Fc ajax ya holland davy klaassen kwa uhamisho wa €27m Ambae alioongoza club hyo mpaka fainali ya ueropa league msimu uliomalizika kabla kufungwa na manchester united Yeye akiwa kama captain ya club hyo

FURAHA JANGWANI

NYOTA WATATU WA KIGENI WAONGEZA MKATABA MNONO YANGA SC: Katika purukushani za usajili ndani ya vilabu mbalimbali hapa bongo tunaendelea kusikia team mbali mbali zinasajili kwa kasi kweli kweli kama Azam , Simba , Kagera sugar , Singida united na kadhilika ila YANGA Imeonekana kuwa kimya kweny hili swala la usajili na kushtusha baadhi ya mashabiki..... Zilitokea tetesi na kusambaa sana kwenye mitandao kuwa Haruna Hakizimana kiungo number 8 wa Yanga  amesaini kandaras ya miaka miwili Simba Sc Lakin sisi tulimpigia simu na kumuhoji akasema hizo  taarifa hazina ukweli ni uzushi tuu pia hana mpango wa kuichezea simba kabsa kama akimaliza mkataba wake na YANGA wasipomuongeza ni bora akacheze team za nyumbani kwake (Mimi nitaichezea Yanga mpaka kustaafu soka)..... Sasa basi kwa taarifa iliyopo ni kwamba nyota hao watatu wa kigeni wameongeza mkataba ndan ya club ya YANGA SC... Haruna Hakizimana Niyonzima : kiungo number 8 maridadi kabsa ndani ya club ya yanga ameongeza mkataba wa m...

ALLY SHOMARI ASAJILIWA SIMBA

Rasmi; beki wa kulia wa mtibwa sugar Allyshomari amejiunga na club ya simba sport clu b Kwa mkataba wa miaka miwili ambao atatumikia club hyo mpaka mwaka 2019. Kwa simba huo ni muendelezo baada ya kuwasajili wachezaji kadhaa akiwemo Aishi manula_azam fc Shomar kapombe_azam fc John bocco_azam fc Na wengine ambao tayari wametua klabuni hapo  ikiwa ni maandalizi ya msimu ujao pamoja na mechi za kimataifa

VALVEDE KOCHA MPYA WA BARCELONA AFANYA USAJILI WAKE WA KWANZA

Kocha mpya wa barcelona amefanya usajili wake wa kwanza kwa mchezaji marlon santon Kwa mkataba wa miaka mitatu(3) Raia huyo wa brazil alikuwa kwa mkopo katika klabu ya flumenense ya huko brazil kabla ya kujiunga na senior timu ya barcelona msimu huu. Marlon santon ni mbrazil mwenye umri wa miaka 21 amelelewa katika soccer academy ya barcelona( lamarcia )