Skip to main content

Posts

HII HAPA RATIBA RASMI YA WORLD CUP 2018 RUSSIA

Hamza matwany Group A :Russia, Saudi Arabia, Egypt, Uruguay  Group B: Portugal, Spain, Morocco, Iran  Group C: France, Australia, Peru, Denmark  Group D: Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria  Group E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia  Group F:- Germany, Mexico, Sweden, South Korea  Group G:-  Belgium, Panama, Tunisia, England  Group H: Poland, Senegal, Colombia, Japan THURSDAY, June 14/6/2018 1.RUSSIA vs SAUDI ARABIA  (8:30pm) FRIDAY, June 15/6/2018 2.EGYPT vs URUGUAY (5:30pm) 3.Morocco vs Iran (8:30pm) 4.Portugal vs Spain (11:30pm) SATURDAY, June 16/6/2018 5.FRANCE vs AUSTRALIA (3:30pm) 6.ARGENTINA vs ICELAND  (6:30pm) 7.PERU vs DENMARK (9:30pm) 8.CROATIA vs NIGERIA (5:30pm) SUNDAY, June 17/6/2018 9.COSTA RICA vs SERBIA (12:30am) 10.GERMANY vs MEXICO (8:30pm) 11.BRAZIL vs SWITZERLAND (11:30pm) MONDAY, June 18/6/2018 12.SWEDEN vs SOUTH KOREA (5:30pm 13.BELGIUM vs PANAMA 8:30pm 14.TUNISIA vs ENGLAND 11:30p...

FAHAMU MACHACHE KUHUSIANA NA EPL

Na Muller Idriss Wakati michezo mbalimbali inaendelea kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini Uingereza ikiwa ni muendelezo wa ligi kuu ya nchi hiyo maarufu kama EPL, Fahamu mambo kadha wa kadha kuhusiana na ligi hiyo:- Manchester United ndiyo timu iliyotwaa ubingwa wa ligi hyo mara nyingi kuliko timu yoyote nchini humo.Imetwaa ubingwa wa ligi hiyo mara 13 tangu mwaka 1992. Lakini pia Man united ndio timu timu iliyoweka rekodi ya kutwaa ubingwa huo  mara tatu mfululizo mnamo msimu wa mwaka 1998-99,199-2000 na 2000-2001 na waliifikia rekodi yao wenyewe mnamo mwaka 2006-07,2007-08 na 2008-09 Rekodi nyingine ni ya kutwaa ubingwa wa epl kwa tofauti ya pointi kubwa. Rekodi hiyo inashikiliwa na klabu ya Manchester United ambapo ilitwaa ubingwa huo kwa tofauti ya pointi 18 baada ya kufikisha pointi 91 wakifuatiwa na Arsenal ambao walifikisha pointi 73. Hiyo ikiwa ni tofauti kubwa ya pointi, tofauti ndogo kabisa ni tofauti ya pointi 0 ambayo iliwekwa mwaka 2011-12 ambapo Manchester c...

NORTHERN LONDON DERBY NA REKODI ZAKE

Muller idrisir Leo tar 10.Feb.2018 ulipigwa mchezo baina ya timu mbili zinazopatikana Kaskazini mwa jiji la London (Northern London derby). Mchezo huo ulizikutanisha timu za Tottenharm hotspurs na Asernal. Mchezo uliomalizika kwa timu ya Spurs kupata ushindi wa bao moja na sifuri. Hizi ni rekodi mbalimbali kuhusiana na mchezo huo uliomalizika majira ya jioni : 1. Huu ndio mchezo ulioongoza kuhudhuriwa na mashabiki wengi kuliko michezo yote ya Ligi hiyo. Mechi hiyo ilihudhuriwa na watazamaji 83,222 na kuvunja rekodi ya mchezo kati ya Spurs na Man united uliopigwa Mwisho wa juma lilipita ambao ulihudhuriwa na watu 81,978 2.Arsenal wamefungwa kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Wembley baada ya kucheza michezo tisa (9) bila kufungwa katika uwanja huo 3. Pia Arsenal wameendelea na rekodi yao ya kutopata ushindi dhidi ya timu 5 za juu wawapo ugenini kwenye Epl baada ya kucheza michezo kumi na tano (15) bila ushindi na leo ni ya 16 bila ya ushindi. Mara ya mwisho ilik...

TATHMINI KUELEKEA DAR DERBY AZAM VS YANGA SC.

Hamza matwany Weekend hii kutakuwa na kati ya zile mechi kubwa kwenye vodacom premier league( vpl) kati ya wenyeji azam fc mabingwa wa afrika mashariki na kati ikikutana na mabingwa wa kihistoria wa ligi hyo yanga sc. Ushindani wa yanga na azam unatenganishwa na goli moja na ushindi wa mechi moja kati yao Yanga na azam zimekutana mara 18 kwenye vpl tangu zilipokutana kwa mara kwanza mwaka 2008 katika mechi hizo yanga amefanikiwa kushinda mechi 6 na azam ameshinda mara 5 huku wakitoka sare michezo 7. Katika mechi hizo yanga amefunga magoli 26 na azam amefunga magoli 25. Kwenye mashindano yote ambayo azam na yanga wamekutana takwimu zao ni kama ifuatavyo; Wamekutana mara 31 yanga ameshinda mara 12 na azam ameshinda mara 11 huku wakiwa wametoka sare mara 8. Huku yanga akiifunga magoli 41 na azam fc wakiwa wamefunga magoli 40. UBORA WA VIKOSI VYAO KWA SASA Kwa msimu huu azam amekuwa na matokeo mazuri katika vpl akiwa ajapoteza mchezo hata mmoja wa ligi na yupo nafasi ya pili katik...

JE WAJUA?

Hamza matwany Ahn jung-hwan raia wa korea kusini alifunga goli la dhahabu kwenye dakika 30 za nyongeza kwenye kombe la dunia mwaka 2002 kwenye mchezo 16 bora dhidi ya italy, wakati huo alikuwa akicheza katika klabu ya perugia iliyopo seria B ya nchini italia. Baada ya goli hilo klabu hiyo iliamua kumvunjia mkataba mchezaji huyo

MAJERAHA MAKUBWA LIGI 5 KUBWA BARANI ULAYA

Hamza matwany Hivi unawajua wachezaji waliowahi kupata majeraha makubwa na kukaa nje siku nyingi pia kukosa michezo mingi kwenye vilabu vyao? Nmekuletea hizi takwimu za wachezaji wa ligi kubwa 5 barani ulaya kwa idadi ya majeraha waliyoyapata, siku walizokaa mpaka kupona hayo majeraha yote na michezo pia ambayo wameikosa. Premier league( EPL) Kwa upande wa ligi kuu kijana mwenye kipaji kikubwa raia wa uingereza na klabu ya arsenal Jack wilshere ndio anaongoza kwenye ligi hii akiwa amepata majeraha mara 13 akiwa ametumia siku 1013 kuuguza majeraha hayo yote .Jack wilshere amekosa michezo 155 mpaka sasa kipindi chote alichoapata majeraha hayo. La liga (santander) Kwenye ligi hii Thomas vermalein mchezaji wa fc barcelona pamoja na taifa ya ubelgiji ndio anaeongoza kwa majeraha mengi kwenye ligi hii akiwa ameumia mara 23 akiwa ametumia siku 1026 katika kuuguza majeraha yote ambayo ameyapata akiwa amekosa michezo 128 katika kipind chote cha majeraha. Bundersliga Kwenye ligi kuu uj...

PAUL POGBA AWEKA REKODI LIGI 5 BORA BARANI ULAYA

Hamza matwany Kiungo wa manchester united paul pogba ambae alichaguliwa kuwa man of the match katika mechi ambayo manchester united walicheza nyumbani dhidi ya stoke city Katika mchezo huo manchester united walishinda goli 3_ 0 magoli ya antonio valencia, martial,na lukaku na kuwafanya manchester united kurudisha matumaini ya mbio za ubingwa baada ya kubakiza point 12 na kinara wa ligi hiyo Paul pogba alichangia upatikanaji wa magoli 2 kati ya hayo matatu na kumfanya afikishe assist 9 kwenye michezo 13 ya ligi. Hivyo pogba anakuwa ame leta msaada wa mabao 9 kwenye mechi 13 ambazo ni nyingi kulinganisha na mechi ambazo amecheza kuliko wote ambao wamefanya hivyo katika ligi 5 bora barani ulaya kwa sasa. Takwimu Pogba 9 kwenye mechi 13 Neymar 9 kwenye mechi 14 Phili max 9 kwenye mechi 18 Sisto 9 kwenye mechi 19 Leroy sane 9 kwenye mechi 21 Kelvin de bruyne 9 kwenye mechi 23